Thursday , October 19 2017

LATEST NEWS

BREAKING NEWS: Jukwaa la Katiba kuandaa maandamano nchi nzima.

Jukwaa la Katiba Tanzania (Jukata) limetangaza kufanya maandamano ya amani nchi nzima October 30, 2017 ili kurudisha hamasa kwa wananchi kushiriki kwenye michakato ya Demokrasia nchini. Mwenyekiti wa Jukata, Hebron Mwakagenda amesema kazi ya Jukwaa hilo ni kukuza hamasa ya wananchi kuweza kushiriki kwenye mchakato wa kuandika Katiba mpya. Mwakagenda …

Read More »

Viongozi wa Dini waeleza wasiwasi wao kwa hali iliyopo Nchini.

Matukio ya uhalifu yanayoendelea nchini yamewaibua viongozi wa dini ambao licha ya kuelezea wasiwasi wao kutokana na kuongezeka, wameitaka Serikali ibuni mikakati ambayo itamhakikishia kila raia usalama wake. Wamesema kuna haja kwa wananchi kuhakikishiwa usalama kwani woga na hali ya kutokuaminiana iliyoanza kujitokeza miongoni mwao inaweza kusababisha hali kuwa mbaya …

Read More »